MAKALA

Thursday, June 5, 2014

CHATU AUWAWA KANISANI





Pichani ni nyoka aina ya chatui aliye uwawa na wananchi wenye hasira na kinacho semekana kua nii imani za kishirikina. nyoka huyu alikutwa kwenye nyumba ya mfanya biashara maarufu jijini arusha jina linahifadhiwa ambapo jitihada za kumpata mtuhuyo hazikuzaa matunda.

0 comments:

Post a Comment